Mbinu ya Elimu ya Manabii; Ibrahim / 8
Takriban wanadamu wote wanafahamu kuwepo kwa baadhi ya sifa hasi ndani yao na wengi hujaribu kuziondoa kwa kutumia mbinu za elimu.
Habari ID: 3477188 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/25
TEHRAN (IQNA)- Harakati za Palestina za Hamas na Jihad ya Kiislamu zimelaani mkutano waliofanya mawaziri wa mambo ya nje wa nchi nne za Kiarabu na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika eneo linalokaliwa kwa mabavu la Naqab.
Habari ID: 3475084 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/28